NTSA yazuilia leseni za madereva 62 kwa utovu wa nidhamu

NTSA yazuilia leseni za madereva 62 kwa utovu wa nidhamu
NTSA ilisema uchunguzi wa uthibiti ulibaini ukiukaji mkubwa wa masharti ya usalama wa barabarani, ikiwemo mwendo kasi na kutofuata taratibu za uendeshaji barabarani.
.

RELATED NEWS