Familia ya Betty Bayo yaomba serikali kuchunguza kiini cha kifo
Mama wa mwanamuziki wa nyimbo za njili nchini Betty Bayo, amewasilisha rasmi ombi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mashtaka ya Umma nchini ili kufunguliwa uchunguzi rasmi kuhusu kifo cha binti yake.
Latest Video
N95 or KF94? Which mask is best at protecting against COVID-19