Since 1902

Mbunge William Ruto wametangaza rasmi chama atakachoabiri katika kugombea urais mwaka huu. united republican party kitazinduliwa jumapili hii wiki hii na usajili wa wafuasi kuanzishwa. uamuzi wa kuunda chama hiki uliafikiwa baada ya malumbano kujiri katika chama cha udm walichotarajia kujiunga nacho.