The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Chama cha Madaktari KMPDU kwenye eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa kimetishia kuitisha mgomo wa madaktari kwenye Kaunti ya Nandi baada ya Serikali ya kaunti hiyo kuchelewesha mishahara yao.
Mwenyekiti wa KMPDU kwenye eneo hilo, Dr. Darwin Ambuka amesema kwa miezi kadhaa, baadhi ya madaktari wamekuwa wakilipwa huku wengine wakikosa kupokea mishahara yao kwa wakati.
Ambuka aidha amewashutumu maafisa wakuu wa wafanyakazi katika kaunti hiyo kwa madai ya kupuuza matakwa ya chama hicho ya kuwataka kuboresha mazingira ya kazi ya madaktari.
Wakati huo huo, Ambuka ameisuta serikali ya Kaunti ya Turkana kwa madai ya kupanga kuwaajiri madaktari na wataalam wengine wa afya kwa mkataba wa kandarasi kinyume na ule wa kudumu.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact-first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
🔥 Flash Sale !
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.