×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]
Premium

Raia sita wa kigeni wakamatwa Garissa wakielekea Somalia

News

Raia sita zaidi wa kigen wamekamatwa katika Kaunti ya Garissa wakiarifiwa kuwa na lengo la kusafiri kuelekea Somalia.

Kwa mujibu wa polisi, raia hao wa kigeni walikamatwa wakiwa katika harakati za kuulizia njia mwafaka ya kufika Somalia kupitia mpaka ulioko katika kaunti hiyo.

Baada ya kuhojiwa 6 hao wamekiri kwamba walikuwa wanalenga kujiunga na kundi la kigaidi la Alshabab baada ya kusajiliwa kutoka Tanzania na Uganda.

Takriban wiki mbili zilizopita, raia watatu wa kigeni kutoka Tanzania walikamatwa katika Kaunti ya Garissa baada ya wakazi kudokezea polisi.

Watatu hao walitambuliwa kama Abdul Saif Salimu, Zuberi Ngare Mtondoo na Seif Abdalla Juma.

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week