×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

IEBC yaendeleza uhamasisho wa wapigakura

News

Shughuli ya uhamasisho wa wapigakura inayoendeshwa na Tume ya Uchaguzi, IEBC imeingia wiki ya pili Jumatau hii.

IEBC ilizundua kampeni hiyo ya siku 18 tarehe 12 mwezi Julai kwa lengo la kuwahamasisha wapigakura kushiriki uchaguzi wa Agosti 9.

Miji mikuu inayolengwa na Kisumu, Nairobi, Nakuru na Mombasa.

Maafisa wa IEBC wakiongozwa na Mkurugenzi wa usajili na shughuli za upigaji kura Rasi Masudi, wametangamana na wananchi ili kujibu maswali kuhusu mchakato wa kupiga kura.

Hata hivyo, IEBC imechelewesha mpango huo kulinganisha na miaka ya awali ambapo kufikia Julai, Wakenya wangekuwa wamefahamishwa kuhusu uchaguzi kupitia kampeni na matangazo ya vyombo vya habari.

Tume ya IEBC imekuwa ikilalamikia ukosefu wa fedha za kuendesha shughuli zake.

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week