×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya's Bold Newspaper
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Matiang'i awaonya wapigakura dhidi ya kusalia katika vituo

Living

Na, Suleiman Yeri Matiang'i awaonya wapigakura dhidi ya kusalia katika vituo Kaimu Waziri wa Masuala ya Ndani ya Nchi, Dkt. Fred Matiang'i ameendelea kushikilia msimamo wake kuwa vyombo vya usalama havitawaruhusu wananchi ambao hawajaidhinishwa na Tume ya Uchaguzi, IEBC kusalia katika vituo vya kupigia kura. Akizumgumza baada ya mkutano wa faragha uliowaleta pamoja wakuu wa usalama kutoka kaunti zote 47 Matiang'i amesisitiza kuwa ni jukumu la walinda usalama kuhakikisha kuwa Tume ya uchaguzi, IEBC inatekeleza jukumu lake bila mwingilio wowote. Aidha akizungumza katika mkutano wa kisiasa eneo la Mombasa Rais Uhuru Kenyatta vilevile amewarai wananchi kuondoka vituoni punde tu baada ya kupiga kura. Matamshi ya Rais yanaoneka kipinga mapango wa mrengo wa NASA a Adopt a Polling station ambao wamesisitiza watuutekeleza wakati wa uchaguzi licha ya pigamizi kutoka kwa serikali. Wakati uo huo Matiangi amesema kuwa serikali itawaongezea ulinzi wasimamizi wote mia mbili  tisini wa uchaguzi katika maeneo bunge na maafisa wengine wakuu wa Tume hiyo.

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week

.

Similar Articles

.

Recommended Articles