×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

ChangaMoto Kirinyaga

Living

Wenyeji wa Kirinyaga ya kati  watapiga kura hapo kesho na kumchagua atakaye kuwa mbunge wao kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu ujao kabla ya uchaguzi mkuu. Lakini kuna maswala kadhaa amabayo yamewaathiri wenyeji wa eneo hili kwa muda mrefu ikiwemo changamoto za barabara mbovu matumizi mabaya ya fedha za mashinani maarufu kama CDF malipo duni ya wakulima wa kahawa na majani chai na pia swala nyeti kuhusiana na donda ndugu la kundi haramu la mungiki.Katika makala maalum kutoka Kirinyaga ya kati Anne Ngugi anapigia msasa maswala haya kwa kuyajadili na  wenyeji wa huko.

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles