×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Mawakili wanavyopora ardhi ya maskini Pwani

Walalamishi Bahati Thoya Kamandi na Mzungu Chengo Thoya. Wanalodai ni kuendewa kinyume na mawakili wao.

Huku mizozo ya ardhi ikiendelea kutafutiwa suluhu kwa udi na uvumba, hasa eneo zima la Pwani kwa ujumla, swala hilo limechukua mkondo mpya baada ya familia moja kutoka Utange kaunti ya Mombasa kulalamikia mawakili wao kunyakua ardhi ambayo walikuwa wanawawakilishia kesi yao ya shamba la ekari kumi katika kijiji cha Maweni sehemu ya Shanzu eneo bunge la Kisauni.

Walalamishi Mzungu Chengo na Thoya Chengo mwenye umri wa karibu miaka 58 na Bahati Thoya Kamandi, wanadai ndio wamiliki halisi wa kipande hicho cha ardhi ambacho waliachiwa na Mhindi zaidi ya miaka 22 Sasa.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in