Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa akihiutubia wana habari punde tu baada ya kutimuliwa katika chama cha ODM kwa tuhuma za kukosa nidhamu. [Picha: Standard]
Usidanganyane, ndoto za magavana Hassan Joho wa Mombasa na mwenzake Amson King wa Kili? kupigania Urais 2022 ni ombwe tupu kutokana na mjengo wa siasa nchini kugubikwa na wingu zito la naibu rais William Samoei Ruto.