Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Maandamano Narok

Wakulima wa ngano mjini Narok wamefanya maandamano kupinga hatua ya waziri wa fedha Uhuru Kenyatta, kupunguza ushuru wa ngano na bidhaa za ngano zinazoagizwa kutoka nchi  za nje, jambo lililopelekea bei ya ngano nchini kushuka. Wakulima hao wamesema kwamba hatua hiyo imepelekea wao kupata hasara kubwa, kwani awali gunia moja la ngano liliuzwa kwa shilingi elfu mbili mia nane, na sasa wanalazimika kuuza kwa shilingi elfu moja mia nane.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News

Related Topics

Maandamano Narok