The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HELB imewahakikishia wanafunzi wote wanaojiunga na vyuo vikuu mwezi huu na mwezi ujao kuwa watapata mikopo hiyo ila itachelewa. Kwa mujibu wa Afisa Mkuu Mtendaji wa bodi hiyo, Charles Ringera, HELB imeomba orodha ya wanafunzi wote wanaotarajia kujiunga na vyuo ili fedha za mikopo zitayarishwe mapema.
Haya yanajiri huku bodi hiyo ikiongeza kiwango cha mikopo inayotolewa kwa wanafunzi, hadi shilingi elfu 40 kutoka shilingi elfu 35 kwa wanaopata kiwango cha chini zaidi. Aidha mkopo wa juu zaidi utawa shilingi elfu 60 kutoka shilingi elfu 50. Afisa Mkuu Mtendaji wa HELB, Charles Ringera amesema hatua hii imechukuliwa ili kuwalinda wanafunzi kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
🔥 Flash Sale !
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.