Mashindano ya magari kufanyika Nanyuki wikendi hii

Na,Hassan Ali

Zaidi ya madereva  watakuwa wakioneshana ubabe katika mashindano ya magari mkondo wa Nanyuki wikendi hii. Mashindano hayo yatang’oa nanda milango ya saa moja asubuhi na kuanzishwa rasmi na gavana wa  Laikipia Joshua Irungu mnamo Jumamosi nje ya afisi za KCB zilizoko mjini Nanyuki. Phineas Kimathi ni mkurugenzi wa mashindano ya magari nchini.
http://goo.gl/vEsR9e
Hadi sasa kiongozi wa jedwali la mashindano hayo ni Mfini Tapio Laukannen Pasi Torma.