Arsenal yajitahidi kumsajili Islam Slimani

Na,Hassan Ali

Arsenal inafanya juu chini kumsajili mshambulizi wa Sporting Lisbon Islam Slimani mwenye umri wa miaka 28, naye aliyekuwa beki wa Arsenal maarufu kama Philippe Senderos mwenye umri wa miaka 31, akikaribia kujiunga na Rangers.