Uchaguzi Tanzania

Shughuli ya kuhesabu kura inaelekea kukamilika nchini Tanzania baada ya uchaguzi mkuu kukamilika nchini humo hapo jana. Chama tawala cha mapinduzi CCM kinatarajiwa kuibuka na ushindi huku matokeo ya uchaguzi huo yakitarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia kesho.

Related Topics

Uchaguzi Tanzania