×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Athari Za Changaa

Athari na hatari za pombe haramu ya chang’aa iliyonywewa mtaani Kibera- laini saba mwishoni mwa wiki  zingali hadi sasa zinadhihirika miongozi mwa waliokunywa kileo hicho hatari. Frank Otieno anaendelea kufuatilia  na hii leo amebaini kwamba  watu wangali wanaaga dunuia, wengine wakipofuka na kukosa uwezo wa kuona ilhali wengine wanasemekana kuumia mafichoni na huenda idadi ya walioaga ambayo imekwea hadi watu 23 hii leo ikaongezeka hata zaidi.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Athari Za Changaa