×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Washukiwa Wa Uchochezi

Naibu wa waziri wa barabara Wilfred Machage, wabunge Fred Kapondi na Joshua Kutuny walikamatwa hii leo na kufikishwa katika makao makuu ya  upelelezi ya CID hapa jijini  kwa  mahojiano na polisi kuhusu matamshi ya uchochezi. Washukiwa hao  wangali wanazuiliwa na polisi huku kamishina wa polisi Mathew Iteere akitangaza mapema leo kwamba watafikishwa mahakamani wakati wowote.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in