×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Raila Kibaki on tracking funds

Serikali itawasilisha bungeni hivi karibuni mswada wa kuwezesha serikali kuwafuata washukiwa wa ufisadi hata wakihamia nchi nyingine.Waziri mkuu Raila Odinga amesema leo kwenye kongamano la euromoney hapa jijini kwamba serikali imependekeza mswada huo ambao utajulikana kama mutual legal assistance bill. Aidha Raila alisema serikali itafanya juhudi kuwapa wakenya wenye mapato madogo kwenye miji chakula kwa bei nafuu lakini hakusema ni lini mradi huo utaanza. Kongamano hilo lilifunguliwa na rais Mwai Kibaki na unaisha kesho.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in