×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Mageuzi Ya Polisi

Wizara ya usalama wa ndani imefanya mazungumzo yanayolenga kuundwa kwa jopo kazi la kitaifa kuhusiana na mabadiliko katika idara ya polisi wa kawaida  na wale wa utawala. Vilevile wizara hiyo imeashiria iko tayari kuwasilisha miswada miwili bungeni ule mswada wa utendakazi wa polisi na ule wa kamati ya utendakazi wa polisi.Hata hivyo, tofauti ziliibuka kati ya idara ya polisi na ile ya polisi wa utawala, kuhusiana usimamizi iwapo idara hizo zitawekwa pamoja.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics

Mageuzi Ya Polisi