Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast
Published Oct. 14, 2022
00:00
00:00

Aliyekuwa mchezaji wa timu ya kitaifa ya soka, Harambee Stars Silvanus Otema anasema alipitia wakati mgumu nchini Ethiopia baada ya kujiunga na klabu ya St. George. Otema anasema alitengwa na wachezaji wa klabu hiyo kutokana na uzuri wake. Pata uhondo kamili katika Podcast hii.