Gumzo na Mwanamichezo Podcast: Ndondi yataka nidhamu
Published Nov. 02, 2021
00:00
00:00

Katika mashindano ya ndondi, nidhamu na heshima pamoja na uvumilivu ni baadhi ya mambo yanayochangia mwanabondia kuimarika. Edwin Okong’o, mwanabondia ambaye ameliwakilisha taifa katika mashindano mbalimbali anasema bila nidhamu ni vigumu sana kuimarika katika mchezo wa ndondi. Walter Kinjo amezungumza na Okong’o kuhusu safari yake akiwa mwanabondia na umuhimu wa nidhamu.