Gumzo na Mwanamichezo Podcast: Uongozi ni wa wachache - Nick Mwendwa
Published Nov. 15, 2021
00:00
00:00

Rais wa Shirikisho la Soka, FKF anayekumbwa na utata, Nick Mwendwa anadai kuwa uongozi ni ya watu wachache ndiyo maana anapigwa vita mara kwa Mara. Katika mahojiano na wanahabari, Ali Hassan Kauleni na Stephen Mukangai, Mwendwa anaweka wazi sababu za mvutano kati ya FKF na Wizara ya Michezo.