Gumzo na Mwanaspoti Podcast: Nimeifanyia FKF mengi-Nick Mwendwa, sehemu 2
Published Nov. 21, 2021
00:00
00:00

Kabla ya kufunguliwa mashtaka, Rais wa Shirikisho la Soka Nchini, FKF Nick Mwendwa anasema kuna mengi Mazuri ambayo ametekeleza katika Shirikisho. Katika mahojiano na mwanahabari Ali Hassan Kauleni, Mwendwa anasema kuna wakufunzi wengi ambao wamepata mafunzo kupitia Shirikisho ili kuimarisha Soka mashinani.