× Podcast Categories English Podcast Kiswahili Podcast Digital News Videos Health & Science Lifestyle Opinion Education Columnists Moi Cabinets Arts & Culture Fact Check Podcasts E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Euro2020 Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
LOGIN ×
BTV
VAS
DCX
RMS

PODCASTS

Home / Swahili / Kisa Changu / Episode

KISA CHANGU PODCAST: Machungu ya baba aliyepokonywa wanawe

Kisa Changu | 1 month ago

Sammy Natoo, mkazi wa Kaunti ya Turkana ana machungu moyoni baada ya kunyang'anywa watoto miaka kadhaa iliyopita kwa kutomlipia mahari mkewe. Kila Jumapili ya tatu ya mwezi Juni wazazi wengine wa kiume wanaposherehekea Siku ya Akina Baba Duniani Natoo anasema inamkumbusha tu masaibu ambayo amekuwa amekuwa akipitia tangu mwaka 1993. Amezungumza na Mike Ekutan na kumweleza kwa kina masaibu yake.

.
RECOMMENDED PODCASTS
.
LATEST JOB OPPORTUNITIES ON STANDARDJOBS
×

Stay Ahead!

Access premium content only available
to our subscribers.

Support independent journalism