Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula ametanagza kuwa wazi nyadhfa za ubunge katika Eneo Bunge la Kandara na Garissa Mjini.
Kupitia taarifa katika Gazeti Rasmi la Serikali Spika Wetnagula amesema hatua hiyo inafuatia uteuzi wa Alice Wahome na Adan Duale kuwa mawaziri.
Spika Wetangula amesema watu wana uhuru wa kufanya kampeni Tume ya Uchaguzi-IEBC ikitarajiwa kutangaza tarehe rasmi ya uchaguzi mdogo.Aden Duale aliteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Alice Wahome Waziri wa Maji, Usafi wa Mazingira na Unyunyiziaji Maji Mashamba.
Facts First
This story continues on The Standard INSiDER. Subscribe now for unfiltered journalism that holds power to account.
Already have an account? Login
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.