×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya's Bold Newspaper
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: corporate@standardmedia.co.ke

Zari asema sababu ya kumpenda Diamond Platnumz

Living

Zari asema sababu ya kumpenda Diamond Platnumz

Mpenzi wake Diamond Platnumz aka Simba amefungukia kitu kilochomvuta kwake msanii huyo wa bongo fleva.

Zarinah Hassan aka The Boss Lady ambaye yupo nchini Kenya pamoja na mpenzi wake Diamond, anafarijika baaada ya misiba iliyompiga mfululizo. Alimpoteza mzazi mwenzake Ivan Ssemwanga lakini pia na mama yake mzazi, Halima Hassan. Hata hivyo watu wengi mitanadaoni wamempiga vita kwa hatua hio ya kwenda kula raha na mpenzi wake Mombasa Kenya wakati anatakiwa kuwa akiuomboleza lakini Zari amewajibu Live.

“Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa Misiba ya watu…. Mtoto wa watu katoka katika matatizo mfululizo, anatakiwa apelekwe sehem tulivu apetiwepetiwe adekezwe apate faraja!…sasa kama nyie hamna mabwana wa kuwafanyia hayo, Msijifanye ni Tamaduni na kulazimisha kila mtu awe kama nyie, eti kutwa nzima ajifungie chumbani kulia… Pambaneni na Mahusiano yenu…! Nina siku 5 za kumpetipeti… leo ndio kwanza Ya kwanza.” amepost Zari.

The Boss Lady pia amefumbua kipi kilochomsukuma kuwa na msanii huyo ambaye kwa sasa amejaaliwa kuwa na familia ya watoto wawili. Hii ni baada ya shabiki mmoja wa kike kumsuta mitandaoni kwa ujumbe wa kumdhihaki huku akidai Zari alipenda pesa za Diamond. Zari naye akampa jibu la kwa nini anampa denda ‘Simba’.

 

-Na;MkazivaeUNIT

 

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week

.

Similar Articles

.

Recommended Articles