×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya's Bold Newspaper
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Malindi land row part 2-Swahili

Living
Na tukiendelea na makala hayio ya mzozo wa umiliki wa ardhi, wenyeji wa maeneo ya chembe kibabamshe na kilifi jimba huko malindi wanatishia kuchukua hatua mikononi mwao, iwapo serikali haitaingilia kati kutatua mzozo wa ardhi uliokumba eneo hilo. Wenyeji wanadai wawekezaji wa kiitaliano pamoja na matajiri wengine wamefika eneo hilo  na kuwapokonya ardhi yao kupitia njia zisizo halali. Sasa wengi wamejipata bila ya makao, huku wakidai kwamba wageni ndio wanaofaidika na ardhi hiyo iliyopakana na ufuo wa Pwani.

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week

.

Similar Articles

.

Recommended Articles