Wabunge wa Pwani Suleiman Dori (Msambweni), Aisha Jumwa (Malindi) na Mohammed Ali (Nyali) walipokuwa wakihutubia wanahabari. [Picha: Standard]
Baada ya kugundua kwamba majuto ni mjukuu, mbunge wa Msambweni alikuwa amefika mwisho wa ngamani za kisiasa pale alipoambiwa kwamba pamoja na mwenzake mbunge wa Malindi, wataonyeshwa cha mtema kuni wakati wa kikao cha uamuzi wa wajumbe wa chama cha ODM luiofanywa mnamo Machi ya tarehe 1.