Kenya Pipeline wakamilisha asilimia kubwa ya mazoezi

Mabingwa wa ligi ya voliboli Kenya Pipeline wamekamilisha asilimia themanini ya mazoezi yao ya kuwania dimba la voliboli la bara Afrika kuanzia siku ya jumanne ijayo. Kocha Japheth Munala  anatarajia kuzindua kikosi chake kabla ya wikendi hii.