×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Harambee stars count down to angola match -swahili

Timu ya taifa ya soka harambee stars inajifua kuchuana na angola katika mchuano wa kufuzu kwa kombe la barani afrika huku wakifahamu kwamba kupoteza mchuano huo kutakatiza ndoto ya timu hiyo ya kufuzu kwa dimba hilo. Pengine ni kwa mantiki hii kocha zedekiah zico otieno ambaye ataongoza timu ya taifa kwa mara ya kwanza nchini ametaja kikosi kilicho na uzoefu wa dimba hili.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in