The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Kiongozi wa chama cha Thirdway Alliance Dakta Ekuru Aukot sasa anaitaka serikali kuwachukulia hatua za kisheria maafisa wa polisi watakaopatikana wakitumia nguvu kupita kisasi wakati wa kutekeleza agizo la kutopatikana nje.
Kwa mujibu wa Aukot, maafisa wa usalama walionakiliwa kwenye kanda za video wakiwapiga na hata kuwajeruhi waliokiuka agizo hilo la Rais Uhuru Kenyatta wanapaswa kutambuliwa na kuadhibiwa na kuitaka Idara ya Upelelezi, DCI kufanya uchunguzi wa kina kuhusu visa hivyo.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
🔥 Flash Sale !
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.