Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Kizazi cha Mswahili huenda kilitokana na Mngozi na Mwarabu?

Wengi wenu mkisikia neno uswahilini unajawa na mawazo kwamba, haya ni maeneo ya watu wa hali duni, sehemu zile zinazoitwa Majengo au mitaa ya mabanda. Ni lazima kutakuwa na maisha ya kihuni huni au ukora tena kuna udaku usabasi na  uongo. Baadhi huchukua uswahilini ni kwa watu wavivu wanaopenda starehe, watu wakujipenda wataaradhi na kadhalika. Lakini kwa maana kubwa zaidi ya hiyo, uswahilini ni uafrikani, yaani kule wanakoishi waafrika tena wa hali ya kadiri au kwa lugha nzuri watu wenye kipato cha kati wastaarabu na wenye maadili, na miendo yao ya kimaisha. Licha ya hayo, maeneo mengi ya aina hiyo huwa yana msongamano wa watu.

Kwa sababu maisha katika maeneo hayo huwa nafuu kiasi. Kutokana na hali hiyo, wenye pesa wakakuita uswahilini, maana mchanganyiko huo wa makabila tofauti tofauti, dini na desturi  unalazimisha wakazi hao kuzungumza kiswahili ndio  lugha kuu ya mawasiliano yao, kikifatiwa kidogo na kingereza, kisha makabila yao pale wanapo kuwa wamekutana watu wa kabila moja na wapo mahala fulani pamoja, wanajikuta wanazungumza lugha yao.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Fact-first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News