Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Imarisha sekta ya elimu ya juu- Serikali yaambiwa

Kupanuliwa kwa matawi ya vyuo vikuu nchini bila kuboresha miundo-msingi kumeathiri pakubwa elimu ya juu nchini. Wataalamu katika sekta hiyo wanasema kuna haja ya serikali kuhakikisha kuwa viwango vya elimu vinavyotolewa katika vyuo vikuu nchini ni vya hali ya juu na vinaafikia viwango vya kimataifa. Akizungumza katika hafla iliyofanyika jana jioni katika chuo kikuu cha Daystar katika Msururu wa Makongamano ya Transform Kenya, Naibu Mkuu wa Chuo hicho, Laban Ayiro amesema wanafunzi wanaohitimu kutoka vyuo vikuu vya humu nchini wamesalia nyuma kutokana na viwango vya masomo vinavyotolewa.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Chama cha Wahadhiri nchini, Constantine Wasonga amelalamika kwamba hawahusishwi katika maamuzi muhimu ya vyuo. Ameishtumu Tume ya Elimu ya Juu, CUE kwa kuweka vikwanzo kwa wahadhiri hasa kuhusu viwango vyao vya masomo, huku akisema hakuna mpangilio wa masomo hasa katika vyuo vikuu vya umma.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902