×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Walanguzi wa mihadarati waonywa Mombasa

Kamanda wa Polisi Kaunti ya Mombasa Johnston Ipara amewaonya watu ambao wanaendeleza ulanguzi wa mihadarati kwenye maeneo ya jiji hilo kwamba watakabiliwa kwa mjibu wa sheria.

Amesisitiza kwamba idara ya Polisi inaendeleza msako wa kuwatia nguvuni walanguzi hao sawa na wale ambao wamekuwa wakitumiwa kusafirisha mihadarati ndani na nje ya Mombasa.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in

Related Topics