The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Maafisa wa polisi wamewanasa washukiwa tisa ambao wanahusishwa na misururu ya visa vya wizi wa kimabavu na ubakaji wa wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Maseno.
Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi DCI, George Kinoti amesema tisa hao wamenaswa baada ya kupashwa habari kutoka umma.
Kinoti amesema kwamba washukiwa hao wamenaswa na vifaa hatari vikiwamo panga na rungu. Aidha washukiwa wengi ambao walitoroka wakati wa opereshini hiyo, wanatafuatwa na polisi. Hatua hiyo ya polisi inafuatia lalama kutoka kwa wanafunzi wa chuo hicho, ambao wamekuwa wakiibiwa huku wanafunzi wa kike wakibakwa na watu wasiojulikana nyakati za usiku
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.