Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Wawili wauliwa na mifugo kuiibwa kwenye Eneo la Kolowa mpakani pa kaunti za Baringo na Elgeyo Marakwet

Watu wawili wameuliwa huku idadi ya mifugo isiyojulikana ikiibwa na washukiwa wa wizi wa mifugo kwenye Eneo la Kolowa mpakani pa kaunti za Baringo na Elgeyo Marakwet.

Tukio hili limejiri siku chache tu baada ya mazishi ya watu watano wakiwamo polisi wa akiba kuzikwa baada ya kuuliwa kwa kupigwa risasi na washukiwa wa wizi wa mifugo kwenye kijiji cha Sogotei, Kaunti ya Baringo huku idadi isiyojulikana ya mifugo vilevile ikiibwa kwenye Eneo la Kolowa, Todoo Kaunti ya Elgeyo Marakwet.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News

Related Topics

cattle rustling