The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Maadili na Kukabili Ufisadi, EACC, Twalib Mbarak leo hii anatarajiwa kuapishwa rasmi kuanza majukumu yake katika tume hiyo. Jaji Mkuu, David Maraga ataongoza uapisho huo katika Mahakama ya Juu.
Kuapishwa kwake kunajiri baada ya Bunge la Kitaifa mwaka uliopita kuidhinisha uteuzi wake. Mbarak anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Halakhe Waqo ambaye muda wake wa kuhudumu ulikamilika.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.