Nchi hiyo ilipata uhuru wake kutoka taifa la Ubelgiji mwaka wa 1960.

Hatimaye Nchi ya  Kimedokrasi ya Kongo imepata Rais mpya baada ya miaka kumi na minane ya Rais Joseph Kabila. Mgombea wa upinzani Felix Tshisekedi ameibuka mshindi kwa kupata asilimia 38.57 ya kura zilizopigwa.

Ikumbukwe mwaka uliopita Rais Joseph Kabila aliahidi kujiuzulu na kukabidhi utawala kwa rais mwingine kwa amani. Aidha alipojiuzulu alimpigia debe Martin Fayulu ambaye amekuwa wa pili katika uchaguzi huo.

Nchi hiyo ilipata uhuru wake kutoka taifa la Ubelgiji mwaka wa 1960.

Related Topics