The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuzindua rasmi mwanzo wa siku mia moja za Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo, wakati uo huo kuwatuma kwenye kaunti mbalimbali madaktari kutoka nchini Cuba
Ikiwa njia mojawapo ya kuboresha afya ya Wakenya na kuiweka Kenya miongoni mwa mataifa yanayotoa huduma bora za kimataifa, Rais Uhuru Kenyatta amezindua Kampeni ya Kitaifa ya Siku 100 ya Utoaji Chanjo, chini ya mpango wa National Rapid Results Initiative, pamoja na madaktari mia moja kutoka Cuba ili waanze kuhudumu kwenye kaunti mbalimbali nchini
Hafla hiyo iliyoandaliwa katika ofisi za Mamlaka ya Usambazaji Vifaa vya Matibabu, KEMSA eneo la Embakasi, Nairobi vilevile ilihudhuriwa na Waziri wa Afya, Sicily Kariuki pamoja na washikadau wegine katika sekta ya afya. Rais amesema serikali imejitolea kufanikisha ahadi yake kwa asilimia mia moja ili kila Mkenya apate huduma bora za matibabu na kwa bei nafuu.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
🔥 Flash Sale !
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.