Kuna tabia ingine madem wengine wameanza na sio poa.
Hii story ya madem shoplifters kuiba vitu ndogo ndogo kwa supermarket imezidi sana.
Of late madem wamekuwa wakibambwa kwa story ya mraa (stealing).
Na hii si picha poa hata kidogo.
Tunajua life mtaani ni hard, lakini sio lazima uende kumanga halafu unaaibisha familia yako bure.
Imagine hubby anadungiwa nangos ati akuje police station bibi yake ameshikwa akiiba suruali za ndani kwa supermarket.
Ya kushangaza, hazii alikuachia pesa za food na vitu zingine akitoka kejani morning. Lazima madem wabadilike.