ICC Muthaura's defence

Mawakili wa washukiwa Francis Muthaura  na Uhuru Kenyatta wamepuuzilia mbali ushahidi wa upande wa mashtaka na kuutaja kama uvumi. Aidha walidadisi mikutano inayodaiwa kufanywa kupanga mauaji ya watu nakuru na naivasha kwa kusema usemi wa mashahidi wa Ocampo unahitilafiana. Munira Mohammed ametuandalia ripoti hii kutoka mahakama ya ICC Hague