×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

Mauaji Turkana

Hatimaye maafisa wa polisi wamefika katika kijiji cha Todonyang’ na kukusanya miili ya takriban Waturkana 37 waliouawa jana na wapiganaji kutoka Ethiopia. Aibu kubw kwa serikali ni kwamba watu hao waliuawa kilomita kadhaa ndani ya kenya wala si nchini Ethiopia jinsi ilivyodaiwa jana. John Juma anaangazia baadhi ya maswala mengine ambayo yamedaiwa kuchangia mauaji hayo ambayo waturkana wameamua kuyaita “Todonyang’ Massacre”.
Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in