×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Waterfall in Ugenya - swahili

Naam. Pengine tunapolilia umaskini sisi hufanya hivyo kabla ya kuangalia rasilmali zinazotuzingira mahala tunapoishi. Katika taarifa ifuatayo, frank otieno alikitembelea kijiji cha ruwe huko ugenya kusini, na kupata maji yanayotiririka kwa kasi- maarufu kama water fall kwa lugha ya kimombo. Maji hayo yasiyokauka miaka nenda miaka rudi hayatumiwi kufanya chochote, mbali na kwamba uwezekano wa kuzalisha nguvu za umeme upo.
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in