Wasichana watatu wa shule ya msingi wamebakwa kwa siku tatu mfululizo baada ya kutekwa nyara na wanaume watatu katika kaunti ya Kitale. Wasichana hao walikuwa wakielekea kwa mazishi ya jamaa yao walipofumaniwa na wanaume hao waliowafungia ndani ya chumba chao kwa takriban siku tatu. ilichukua juhudi za wakaazi wa eneo hilo wakiwa wameandamana na maafisa wa polisi kuwanasa washukiwa hao waliokuwa wakiendeleza kitendo hicho.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
- Unlimited access to all premium content
- Uninterrupted ad-free browsing experience
- Mobile-optimized reading experience
- Weekly Newsletters
- MPesa, Airtel Money and Cards accepted