×
App Icon
The Standard e-Paper
Join Thousands Daily
★★★★ - on Play Store
Download App

Sheria Ya Pombe Haramu

Sheria iliyotiwa saini na Rais Kibaki kuhalalisha pombe haramu imepokelewa vyema na wakenya wengi ingawa masharti yaliyomo kwenye sheria hiyo yanaibua mjadala kuhusu iwapo itakuwa rahisi kwa watengenezaji pombe haramu kuyatii kabla ya muda wa siku 90 zilizotolewa na serikali. Lakini kwa makampuni makubwa ya pombe nchini yamelalama kuwa sheria hio imeharakishwa na kuwa mchango wao haukutiliwa maanani. Johana Chacha ameongea na washikadau husika na kutwandalia taarifa ifutayo.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in