Maambukizi Ya HIV

Waafrika wana uwezekano mkubwa wa kupata maambukizi ya maradh ya ukimwi, ikilinganishwa na watu wa asili zingine duniani kama vile wazungu, wahindi na waarabu. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya utafiti nchini kemri, pamoja na chuo kikuu cha california. kwa mujibu wa utafiti huo, chanzo cha maradhi ya ukimwi kukithiri zaidi barani Afrika ni seli za kimaumbile za waafrika ambazo ni dhaifu zikilinganishwa na watu wa asili tofauti.

Related Topics

Maambukizi Ya HIV