NYANGUMI ANASWA NA WAVUVI JIJINI MOMBASA LEO ASUBUHI

NYANGUMI ANASWA NA WAVUVI JIJINI MOMBASA LEO ASUBUHI

Takriban saa moja asubuhi Nyangumi aliweza kunaswa na wavuvi jijini mombasa wakati wavuvi wakiwa katika pilka pilka za uvuvi hapo ndipo walipokutana na nyangumi huyo walieza kutumia vifaa vyao kumnasa nakueza kumleta ufuoni.