The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Uongozi mbaya ndio chanzo kikuu cha ukosefu wa amani barani Afrika na kimataifa. Haya ni kwa mujibuwa kongamano la kimataifa kuhusu amani la mwaka wa 2010 lililoandaliwa jijini Nairobi na ambalo liliwaleta pamoja viongozi kutoka sehemu mbalimbali duniani. Viongozi wote waliohutubu walisisitizia hoja ya kuangamiza umaskini na kuboresha ustawi Hususan katika bara hili la Afrika lakini kuafikiana kuwa yote haya hayawezekani pasi na kuwepo amani. Mwanahabari wetu Carol Nderi alihudhuria kongamano hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
🔥 Flash Sale !
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.