Hali ya siasa Afrika Mashariki na mizozo ya DRC na Sudan: Kulikoni Podcast
Published Apr. 26, 2023
00:00
00:00

Katika msururu wa leo wa kipindi cha Kulikoni, Prof Monda anaongea na Bwana Goodluck Paul, mwandishi wa masuala ya diplomasia anayefanya na runinga ya Azam kutoka Taifa la Tanzania. Wanaangazia siasa za Afrika mashariki na mizozo ya DRC na Sudan. Karibu!