Je, hanshake ingine ndio suluhu la Kenya?
Published Apr. 04, 2023
00:00
00:00

Kenya imeshuhudia maandamano katika siku za hivi karibuni, kabla ya Rais William Ruto na kinara wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga kukubaliana kutatua mambo yaliyoibuliwa kwa majadilianao. Je, huenda Kenya inaelekea kushuhudia handshake ingine hivi karibuni ama ni maongezi tu? Kupata mengi zaidi, skiza kipindi hiki hadi mwisho. Karibu.